Taifa Linapozidi Kukumbwa Na Uhaba Wa Mafuta,Ambao Umetajwa Kusababishwa Maksudi, Halmashauri Ya Kudhibiti Kawi Hapa Nchini Epra Imeongeza Bei Za Mafuta Kwa Shilingi 9.90. Hata Hivyo Epra Imesema Bei Hizo Mpya Zinajumuisha Ushuru Ziada Wa Asilimia Nane, Na Kwamba Iwapo Serikali Haingeingilia Kati, Bei Hizo Zingekuwa Za Juu Zaidi
