Msimamo Wa UDA Kuhusu Kura Ya Mchujo

Msimamo Wa UDA Kuhusu Kura Ya Mchujo

Bodi Ya Uchaguzi Ya Chama Cha UDA Imewataka Wagombea Ambao Wafuasi Wao Walianzisha Vurugu Kwenye Kura Ya Mchujo Kufika Mbele Yao ..Hii Ni Baada Ya Vurugu Kuzuka Katika Maeneo Mbalimbali Yakiwemo Embu ,Bumula Na Nairobi .. Bodi Hiyo Aidha Imewahakikishia Wapigakura Kuwa Shughuli Hiyo Ilikuwa Ya Haki Na Kweli Licha Ya Madai Ya Wizi Wa Kura Na Mapendeleo.