Wakaazi Wa Mombasa Wajitokeza Kwa Wingi Katika Zoezi Hilo La Usajili Wa Laini

Wakaazi Wa Mombasa Wajitokeza Kwa Wingi Katika Zoezi Hilo La Usajili Wa Laini

Huku Ikiwa Imebakia Siku Moja Tu Kabla Ya Usajiili Wa Laini Za Simu Kufungwa, Watu Wamezidi Kujitokeza Kwa Wingi Katika Vituo Mbalimbali Vya Ucajili, Wengi Wao Wakionyesha Kugadhabika Kwa Hatua Hii Ya Serikali Wakisema Kuwa Imewapotezea Muda Wito Wao Kwa Mamlaka Ya Mawasiliano Nchini Ikiwa Ni Kuongezewa Mda Wa Zoezi Hilo.

Siku chache tu baada ya Mkurugenzi Mtendaji WA Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya, Ezra chiloba kutoa muelekezo wa kusajili upya kwa laini za simu, wakenya wengi wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali vya ucajili ikiwa imebakia siku moja tu kabla ya ucajili huo kukamilika.

Katika vituo vya ucajili katika kaunti ya mombasa tunakutana na foleni ndefu ya watu wakisubiri kuhudumiwa. Baadhi yao wakionyesha kuchoshwa na zoezi hilo. Tunazungumza na mmoja wa wakaazi wa eneo hili, akitueleza jinsi hatua hii imempoteza mda kwani amelazimika kufunga biashara yake kitu ambacho kina mkera mno. Anasema kuwa amezunguka kwa vituo kadhaa na hali ni ile ile.

Омг Omgomg Onion Darkmarket